Jumamosi, 13 Aprili 2013

Zuia uhalifu kwa maslahi yako mwenyewe na ya taifa lako:

Mtukufu Mtume [ SAWW] alipokuwa akielezea falsafa kuhusu ushawishi wa kutenda mema na kujizuia kufanya maovu, ametumia mfano mzuri sana. Alisema: “Kundi la watu lilipanda mashua na kuanza mwendo katikati ya bahari. Kila abiria aliketi kwenye sehemu yake. Mmojawapo wa abiria kwa kisingizio kwamba mahali alipo keti ni sehemu yake peke yake, alianza kutoboa tundu pale alipoketi. Endapo abiria wengine kwa haraka wangemshika mkono na kumkataza asitoboe tundu, hawangejiokoa wao tu bali pia wangemuokoa yeye.”

0 comments:

Chapisha Maoni